Gallery




Inafurahisha kuwa na familia yenye amani, furaha na upendo kama hii, naamini ni matamanio ya kila mwanamke duniani kuwa na familia yenye amani na furaha, sasa inawezekana 
AMUA LEO NA JIPANGE UPYA KUHANGAIKIA AMANI YA FAMILIA YAKO!


Hebu tujiulize MAPENZI YA MBALI YANAFAIDA AU HASARA?

Angalia picha hizi alafu tafakari kwa kina ili kupata jibu sahihi.

1. Kitanda chenu huwa baridi sana hivyo mwanamke au mwanaume hushindwa kulala mwenyewe ifikapo usiku.


2. Ulevi na Uzinzi huanza kukaribia katika maisha yenu na hapo ubakaji huweza kutokea kwa urahisi na kusababisha ndoa au mahusiano kuingia  katika migogoro isiyoeleweka na hatimaye ndoa au mahusiano kuvunjika kabisa.

Mapenzi ya mbali  kwa kawida hayana faida na yanaendelea kwa taabu sana, wengi wa walio katika mahusiano ya mbali wamekuwa wakilalamikia jambo hilo kwani wamekuwa wakikosa haki muhimu sana katika mahusiano ya kimapenzi ambayo ni kiungo muhimu sana cha upendo wao.

Mengi mazuri yanafuata katika blogu hii usichoke endelea kuwa nasi kila siku na kila wakati!




No comments:

Post a Comment