WANAWAKE MASHUJAA TANZANIA
P.O.
Box 1873, Arusha – Tanzania. Tel. +255 682 622 626 / +255 766 445 733
FOMU YA USAJILI – Taasisi ya Wanawake
Mashujaa Tanzania
“Kama ndio - Karibu tuungane
pamoja”
TAFADHALI
JAZA FOMU HII KUWA UMEKUBALIANA:
JINA: ……………………………………….
SIMU: ………………………………............
ANWANI: …………………………………
BARUA
PEPE: …………………………….
UMRI: …………………………..................
KAZI: ……………………………...............
JINSIA: ......................................................
JINSIA: ......................................................
MIAKA YA
NDOA/MAHUSIANO: …………………………
IDADI YA
WATOTO: …………………………………………
1. Ni
mada gani utapenda tuzungumzie/jadili
zaidi
(Orodhesha kwa mpangilio)
(a) ……………………………………………………………………………………….
(b) ……………………………………………………………………………………….
(c) ……………………………………………………………………………………….
2. Mara ulipopata taarifa ya Taasisi hii,
Je? umefanya uamuzi wa yafuatayo, weka
alama ya √ kwa yale ambayo ni sahihi:-
(a) …………….Uliamua
kubadili tabia na kuwa shujaa mwaminifu?
(b) …………….Uliwaza
kuwa ipo siku utakuwa Kiongozi wa jamii
yako?
(c) …………….Ulijua
wewe ni wa thamani na Mwenzi/Mume uliye naye ni zawadi kutoka kwa Mungu?
(d) ……………Uliwaza
kuwa ndoa uliyo nayo ni ya kuitunza sana na umepewa
jukumu kubwa sana la kulea mume/mke na watoto wako vizuri?
3. Utapendelea tuwe na Waalimu tofauti
tofauti ili kujifunza mambo mazuri kuhusu
malezi bora ya ndoa na watoto wetu? Kama ndiyo (Orodhesha mambo matatu ambayo utapenda kujifunza)
(a) ……………………………………………………………………………………….
(b) ……………………………………………………………………………………….
(c) ……………………………………………………………………………………….
4. Utapenda mada zingine zihusishwe? Kama
ndiyo ni mada zipi? (Orodhesha kwa
mpangilio)
(a) ……………………………………………………………………………………….
(b) ……………………………………………………………………………………….
(c) ……………………………………………………………………………………….
(d) ……………………………………………………………………………………….
5. Unalinganisha vipi mguso mzima wa Taasisi hii? Sehemu ambayo ni sahihi tafadhali
weka alama ya √
(a) ………………………….Nzuri
kupindukia
(b) ………………………….Nzuri
sana
(c) ………………………….Nzuri
(d) ………………………….Wastani
(e) ………………………….Siyo
mbaya sana
(f) ………………………….Ni
mbaya
6. Elezea ni nini uliona kabla ya kuanza
mahusiano na baada ya kuanza mahusiano
hadi sasa.
…………………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………………
…………………………………………………………………………………………………
......................................................................................................................................................
......................................................................................................................................................
N:B Taarifa hizi zitatusaidia katika kufahamiana na kujua ni jinsi gani tunaweza kusaidiana wenyewe na jinsi ya kuweza kusaidia wengine ambao tunalengo la kuwafikia.
Imetayarishwa na:
Diana
Didas Shirima
(Community
Development Officer)
Founder-
WANAWAKE MASHUJAA TANZANIA
No comments:
Post a Comment