Wednesday, May 16, 2012

KARIBU KWENYE UWANJA WA FAMILIA!

HABARI WANAWAKE WA TANZANIA, KARIBUNI SANA KATIKA BLOG YANGU YA WANAWAKE MASHUJAA TANZANIA, WANAWAKE MASHUJAA TANZANIA NI TAASISI INAYOJIHUSISHA NA MAMBO YA FAMILIA NA MALEZI YA WATOTO.

WANAWAKE MASHUJAA IPO KWA AJILI YA WANAWAKE NA WANAUME KUANZIA MIAKA 18 KUENDELEA WALIO TAYARI KUJIFUNZA NA KUTAMBUA JINSI YA KUISHI KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA BAADA YA HAPO KUINGIA KATIKA TAASISI YA NDOA KWA MADHUMUNI YA KUANZISHA FAMILIA.

KARIBU TUJIFUNZE MENGI.

FOUNDER,

COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER.


4 comments:

  1. hongera Diana.. hope nitajifunza mengi humu. Best of luck

    ReplyDelete
  2. Asante sana, Tumeshakaribia.
    Patrick

    ReplyDelete
    Replies
    1. Karibu Patrick, unaweza kualika na wengine zaidi.

      Delete
  3. Ahsanteni kwa kunitia moyo, karibuni sana na ntashukuru sana endapo tutakuwa na maswaali kuhusu familia na malezi ya watoto tuulizane kwa upendo!

    ReplyDelete