KARIBU
KATIKA KONGAMANO LA WANANDOA/WALIO KATIKA SAFARI YA KUINGIA KATIKA NDOA 2013
HAPA NYUMBANI SINGIDA
MAHALI: SOCIAL HALL — RC SINGIDA
SAA: 5:00
- 10:30 JIONI ( kutakuwa na chakula cha mchana pamoja na kinywaji)
COUPLES 100 ZA KWANZA ZITAPEWA ZAWADI MAALUMU KWA AJILI
YA VALENTINE DAY!
TAREHE YA MWISHO KUJIANDIKISHA: 25.01.2013 USIKOSE
Wanawake Mashujaa Tanzania inapenda kukupa habari njema wewe mume/mke au
nyie wachumba mnaotegemea kuingia kwenye ndoa na yeyote yule ambaye anafikiria
siku moja kuingia katika ndoa kutakuwa na siku yenu tarehe 9/2/2013.
Wasemaji maarufu kutoka sehemu mbalimbali Tanzania watakuwepo, hii ni kwa mara ya kwanza kutokea
mkoani Singida sio ya kukosa mtaarifu jirani yako, shoga yako,
shemeji, wifi wote mnakaribishwa.
Kiingilo Wawili(double) 40,000/= na
mmoja(single) 20,000/= chakula na viburudisho
Usisahau rangi ya siku ni NYEKUNDU NA NYEUPE.
(Kwa wadada
kitenge kitapendeza zaidi)
Zawadi zitatolewa
mlangoni kwa couples (wapendanao) zitakazokuwa zimependeza zaidi. Pia
kutakuwepo na zulia jekundu kwa ajili ya kuchukulia picha kwa wale
watakaopendeza zaidi.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na
Diana D. Shirima
Mwanzilishi - Wanawake Mashujaa Tanzania
Simu namba. . +255 766 44 57 33 / 682 622 626
www.wanawakemashujaatanzania.blogspot.com
Mr. Patrick Mosha +255 787 99 71 99
patmo81@yahoo.com
UKIPIGA SIMU NITAKUELEKEZA TIKETI ZINAPATIKANA WAPI KATIKA
ENEO ULILOPO!
No comments:
Post a Comment